Gigabaiti
From Wikipedia, the free encyclopedia
Katika utarakilishi, gigabaiti (kwa Kiingereza: gigabyte; kifupi: "GB") ni kipimo cha taarifa ya tarakimu.
Kiambishi awali "giga" kinamaanisha 109 katika Vipimo sanifu vya kimataifa. Kwa hiyo, gigabaiti moja ni baiti bilioni moja.