Marcus Aurelius
From Wikipedia, the free encyclopedia
Marcus Aurelius (26 Aprili, 121 – 17 Machi, 180) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 8 Machi, 161 hadi kifo chake. Alimfuata Antoninus Pius. Mpaka 169 alitawala pamoja na Lucius Verus, na kuanzia 177 alitawala pamoja na mwana wake, Commodus.