Saint Augustine, Florida
From Wikipedia, the free encyclopedia
Saint Augustine ni mji mdogo uliopo kwenye mwambao wa Atlantiki katika jimbo la Florida. Idadi ya wakazi ni 12,284 (2007)
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
St. Augustine | |
Mahali pa mji wa Saint Augustine katika Marekani |
|
Majiranukta: 29°53′39″N 81°18′48″W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Florida |
Wilaya | St. Johns |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 12,284 |
Tovuti: www.staugustinegovernment.com |
Funga
Mji ulianzishwa na Wahispania mnamo 1565 waliochagua jina kwa heshima la Agostino wa Hippo.