AftonbladetFrom Wikipedia, the free encyclopedia Aftonbladet (kwa Kiswidi: "gazeti la jioni") ni gazeti la siku nyingi nchini Uswidi. Lilianzishwa mwaka 1830. Kwa sasa linamilikiwa na Schibsted, kampuni ya Norway (91%). Ukurasa wa kwanza wa Aftonbladet, 1830. Lars Johan Hierta, mwanzilishi wa gazeti.
Aftonbladet (kwa Kiswidi: "gazeti la jioni") ni gazeti la siku nyingi nchini Uswidi. Lilianzishwa mwaka 1830. Kwa sasa linamilikiwa na Schibsted, kampuni ya Norway (91%). Ukurasa wa kwanza wa Aftonbladet, 1830. Lars Johan Hierta, mwanzilishi wa gazeti.