Agartala
From Wikipedia, the free encyclopedia
Agartala ni jina la mji mkuu wa jimbo la Tripura katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2004, mji una wakazi wapatao 370,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 16 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Jiji la Agartala | |
Mahali pa mji wa Agartala katika Uhindi |
|
Majiranukta: 23°30′0″N 91°12′0″E | |
Nchi | Uhindi |
---|---|
Jimbo | Tripura |
Wilaya | Tripura Magharibi (West Tripura) |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 367,822 |
Tovuti: agartalacity.nic.in |
Funga