Aix-en-Provence
From Wikipedia, the free encyclopedia
Aix-en-Provence ni mji wa Ufaransa katika mkoa wa Provence-Alpes-Côte d'Azur.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Aix-en-Provence | |
Mahali pa mji wa Aix-en-Provence katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 43°32′0″N 5°26′0″E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Provence-Alpes-Côte d'Azur |
Wilaya | Bouches-du-Rhône |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 142,534 |
Tovuti: www.mairie-aixenprovence.fr/ |
Funga
Mji upo m 73-511 juu ya usawa wa bahari, km 30 kaskazini kwa Marseille.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2006, wakazi wapatao 140,000 wanaishi katika mji huu.