Bangalore
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bangalore ni jina la mji mkuu wa jimbo la Karnataka katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 6 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 920 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Jiji la Bangalore | |
Mahali pa mji wa Bangalore katika Uhindi |
|
Majiranukta: 12°58′0″N 77°34′0″E | |
Nchi | Uhindi |
---|---|
Jimbo | Karnataka |
Wilaya | Bangalore Mjini (Bangalore Urban) |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 5,840,155 |
Tovuti: www.bbmp.gov.in |
Funga