Bhubaneswar
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bhubaneswar ni jina la mji mkuu wa jimbo la Orissa katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao 650,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 33 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Jiji la Bhubaneswar | |
Mahali pa mji wa Bhubaneswar katika Uhindi |
|
Majiranukta: 20°16′0″N 85°50′0″E | |
Nchi | Uhindi |
---|---|
Jimbo | Orissa |
Wilaya | Khurda |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 647,302 |
Tovuti: bmc.gov.in |
Funga