Boston, Massachusetts
mji mkuu wa Jimbo la Massachusetts, Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
Boston ndiyo mji mkuu katika jimbo la Massachusetts. Mji una wakazi wapatao 7,514,759 na hiyo ni kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2007.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Boston | |||
| |||
Mahali pa mji wa Boston katika Marekani |
|||
Majiranukta: 42°19′18″N 71°5′21″W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Massachusetts | ||
Wilaya | Suffolk | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 608,352 | ||
Tovuti: www.cityofboston.gov |
Funga
Mji uko futi 141 juu ya usawa wa bahari.