Calgary
From Wikipedia, the free encyclopedia
Calgary ndiyo mji mkubwa katika jimbo la Alberta.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Calgary | |
Mahali pa mji wa Calgary katika Alberta |
|
Majiranukta: 51°02′42″N 114°03′26″W | |
Nchi | Kanada |
---|---|
Jimbo | Alberta |
Wilaya | Calgary |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,042,892 |
Tovuti: www.calgary.ca |
Funga
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, kuna wakazi wapatao milioni 1.2 wanaoishi katika mji huu.
Mji upo m 1048 juu ya usawa wa bahari.