Charles Bronson
From Wikipedia, the free encyclopedia
Charles Bronson (jina la kuzaliwa Charles Dennis Buchinsky,3 Novemba 1921 - 30 Agosti 2003) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani, alikuwa akiitwa "Mtu Shupavu". Filamu nyingi alipendelea kucheza kama askari mpelelezi, Pia mpiganaji wa wa kutumia silaha katika filamu za western ambayo moja kati ya filamu hizo ni ile aliocheza na Henry Fonda chini ya uongozi wake Sergio Leone katika Once Upon a Time in the West iliyochezwa 1968.
Ukweli wa haraka Charles Bronson ...
Charles Bronson | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Charles Dennis Buchinsky |
Alizaliwa | 3 Novemba 1921 Marekani |
Kafariki | 30 Agosti 2003 |
Ndoa | Harriet Tendler (1949-1967) Jill Ireland (1968-1990) |
Funga