Chiba, Chiba
From Wikipedia, the free encyclopedia
Chiba (千葉市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Chiba. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 960,000 wanaoishi katika mji huu.
Ukweli wa haraka Nchi, Kanda ...
Chiba | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Kantō | ||
Mkoa | Chiba | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 961,544 | ||
Tovuti: www.city.chiba.chiba.jp |
Funga