Dehradun
From Wikipedia, the free encyclopedia
Dehradun ni jina la mji mkuu wa jimbo la Uttarakhand katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao 450,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 657 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Jiji la Dehradun | |
Mahali pa mji wa Dehradun katika Uhindi |
|
Majiranukta: 30°19′0″N 78°3′0″E | |
Nchi | Uhindi |
---|---|
Jimbo | Uttarakhand |
Wilaya | Dehradun |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 447,808 |
Tovuti: dehradun.nic.in |
Funga