Gandhinagar
From Wikipedia, the free encyclopedia
Gandhinagar ni jina la mji mkuu wa jimbo la Gujarat katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 2.2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 81 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Jiji la Gandhinagar | |
Mahali pa mji wa Gandhinagar katika Uhindi |
|
Majiranukta: 23°13′12″N 72°40′48″E | |
Nchi | Uhindi |
---|---|
Jimbo | Gujarat |
Wilaya | Gandhinagar |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 2,195,891 |
Tovuti: www.collectorgandhinagar.gujarat.gov.in |
Funga