HadubiniFrom Wikipedia, the free encyclopedia Hadubini (pia: darubini ya vidudu) ni kifaa cha kutazama vitu vidogo sana. Ni chombo muhimu cha sayansi kwa utafiti wa vitu ambavyo ni vidogo mno kwa jicho la binadamu. Mtaalamu akichungulia kwenye hadubini Hadubini ya kawaida1:Lenzi kwa jicho cha mtazamaji2-3 lolenzi tatu kwa kukuza 4-5 mguu na gurudumu la fokasi6 meza ya kiolwa (kinachotazamiwa)7-8 taa inayoangaza kiolwa kwa chini; au kioo kinachokusanya nuru chini ya kiolwa kama hakuna umeme Jicho la nzi jinsi inavyoonekana kwa hadubini
Hadubini (pia: darubini ya vidudu) ni kifaa cha kutazama vitu vidogo sana. Ni chombo muhimu cha sayansi kwa utafiti wa vitu ambavyo ni vidogo mno kwa jicho la binadamu. Mtaalamu akichungulia kwenye hadubini Hadubini ya kawaida1:Lenzi kwa jicho cha mtazamaji2-3 lolenzi tatu kwa kukuza 4-5 mguu na gurudumu la fokasi6 meza ya kiolwa (kinachotazamiwa)7-8 taa inayoangaza kiolwa kwa chini; au kioo kinachokusanya nuru chini ya kiolwa kama hakuna umeme Jicho la nzi jinsi inavyoonekana kwa hadubini