Heilongjiang
From Wikipedia, the free encyclopedia
Heilongjiang (黑龙江) ni jimbo ya China katika eneo la Manchuria. Mji mkuu ni Harbin (哈尔滨). Jina la jimbo limetokana na mto Heilongjiang inajulikana zaidi kimataifa kama Amur.
Jimbo lapakana na Urusi. Sehemu za kaskazini na za kusini kabisa za China ziko Heilongjiang.