Incheon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Incheon (Kikorea: 인천) ni mji nchini Korea Kusini. Ni mji mkubwa wa tatu katika nchi wa Korea Kusini. Kuna wakazi 2,775,645 (mwaka 2010). Mji ulianzishwa 1883.