Kifaa cha kutunzia
kifaa hichi hukaa ndani ya kompyuta na huhifadhi data mbalimbali / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kifaa cha kutunzia ni chombo cha tarakilishi kinachotumiwa kwa kutunza rasilimali ya tarakilishi. Kwa mfano, diski ngumu, RAM au kisahani (CD) ni vifaa vya kutunzia.