Kosovo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kosovo (kwa Kialbania: Kosovë au Kosova, kwa Kiserbokroatia na herufi za Kikirili: Косово и Метохија, kwa alfabeti ya Kilatini: Kosovo i Metohija) ni nchi ndogo ya Balkani katika Ulaya ya kusini-mashariki. Imepakana na Serbia, Masedonia Kaskazini, Albania na Montenegro.