Midlands Mashariki
From Wikipedia, the free encyclopedia
Midlands Mashariki (Kiing.: East Midlands) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Uingereza. Idadi ya wakazi wake ni takriban 4,172,180. Mji wake mkuu ni Nottingham.
Ukweli wa haraka Nchi, Sehemu ...
East Midlands | |
Mahali pa Uingereza Midlands Mashariki katika Uingereza | |
Nchi | Ufalme wa Muungano |
---|---|
Sehemu | Uingereza |
Mji mkuu | Nottingham |
Eneo | |
- Jumla | 15,627 km² |
Idadi ya wakazi (2001) | |
- Wakazi kwa ujumla | 4,172,180 |
Tovuti: http://www.go-em.gov.uk/ |
Funga