Nagano, Nagano
From Wikipedia, the free encyclopedia
Nagano (長野市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Nagano. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 377 000 wanaoishi katika mji huu.
Ukweli wa haraka Nchi, Kanda ...
Nagano | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Chūbu | ||
Mkoa | Nagano | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 376,928 | ||
Tovuti: www.city.nagano.nagano.jp |
Funga