Nagoya
From Wikipedia, the free encyclopedia
Nagoya (名古屋市, Nagoya-shi) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Aichi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2010, mji una wakazi wapatao milioni 2.3 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 9 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 326.45 km².
Ukweli wa haraka Nchi, Kanda ...
Nagoya | |||
| |||
Mahali pa mji wa Nagoya katika Japani |
|||
Majiranukta: 35°11′00″N 136°54′00″E | |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | |||
Mkoa | Aichi | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 2,258,804 | ||
Tovuti: http://www.city.nagoya.jp/ |
Funga