Nantes
From Wikipedia, the free encyclopedia
Nantes ndiyo mji mkuu katika mkoa la Pays de la Loire. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 800,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 2-52 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Jiji la Nantes | |
Mahali pa mji wa Nantes katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 47°13′5″N 1°33′10″W | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Pays de la Loire |
Wilaya | Loire-Atlantique |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 804,833 |
Tovuti: www.nantes.fr |
Funga