Nzi mweleaji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Nzi weleaji (kutoka kwa Kiing. hoverflies) ni nzi wa familia Syrphidae katika oda Diptera wanaojulikana kwa tabia yao ya kuelea angani. Spishi nyingi huiga nyigu au nyuki kwa rangi zao mara nyingi kali sana. Nzi-nyuki huelea pia, lakini hawa wana nywele nyingi kwa kawaida.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Nzi mweleaji | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Bango la nzi weleaji (spishi za picha 5 na 7 tu zinatokea Afrika ya Mashariki | ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||
Nusufamilia 4:
| ||||||||||||||||||
Funga