Pat Benatar
From Wikipedia, the free encyclopedia
Patricia Mae Giraldo; alizaliwa Januari 10, 1953), anajulikana kama Pat Benatar, ni mwimbaji wa muziki wa roki na mtunzi wa nyimbo wa nchini Marekani. amekuwa na albamu mbili za multi-platinum, albamu tano za platinum, na nyimbo 15 bora zaidi kwenye Billboard Hot 100.
Akiwa Kanada alikuwa na albamu nane za platinum na ameuza zaidi ya albamu milioni 35 duniani kote. Pia ni mshindi mara nne wa tuzo ya Grammy.