Rockville, Maryland
From Wikipedia, the free encyclopedia
Rockville ni mji wa Marekani katika jimbo la Maryland. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 60,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 137 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Rockville | |
Mahali pa mji wa Rockville katika Marekani |
|
Majiranukta: 39°5′1″N 77°8′54″W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Maryland |
Wilaya | Montgomery |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 60,374 |
Tovuti: www.rockvillemd.gov |
Funga