SautiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Sauti (kutoka Kiarabu صوت saut) inamaanisha kile tunachosikia kwa masikio yetu. Sauti hutoka kwenye chanzo, mfano ngoma. Kifizikia sauti ni uenezaji wa mabadiliko ya densiti na shinikizo katika midia kama kiowevu, gesi au gimba manga kwa njia ya wimbisauti.
Sauti (kutoka Kiarabu صوت saut) inamaanisha kile tunachosikia kwa masikio yetu. Sauti hutoka kwenye chanzo, mfano ngoma. Kifizikia sauti ni uenezaji wa mabadiliko ya densiti na shinikizo katika midia kama kiowevu, gesi au gimba manga kwa njia ya wimbisauti.