The Village Voice
From Wikipedia, the free encyclopedia
The Village Voice ni gazeti litolewalo bure kila wiki jijini New York City, Marekani. Gazeti hili hujihusisha na makala za kimahojiano, uchambuzi wa mambo na utamaduni wa kisasa, utahakiki wa sanaa na matukio yanatokea huko mjini New York City. Pia husambazwa nchi nzima ya Marekani lakini kwa kiwango cha malipo maalumu.