Vietnam KusiniFrom Wikipedia, the free encyclopedia Vietnam Kusini au Jamhuri ya Vietnam (kwa Kivietnam: Việt Nam Cộng Hòa) ilikuwa nchi katika nusu ya kusini ya Vietnam ya leo kati ya miaka 1954 na 1976. Mji mkuu ulikuwa Saigon (leo: Mji wa Ho-Chi-Minh). Nembo (1967 - 1975) Ramani ya Vietnam Kusini Wanajeshi wa Marekani katika Vietnam Kusini
Vietnam Kusini au Jamhuri ya Vietnam (kwa Kivietnam: Việt Nam Cộng Hòa) ilikuwa nchi katika nusu ya kusini ya Vietnam ya leo kati ya miaka 1954 na 1976. Mji mkuu ulikuwa Saigon (leo: Mji wa Ho-Chi-Minh). Nembo (1967 - 1975) Ramani ya Vietnam Kusini Wanajeshi wa Marekani katika Vietnam Kusini