Bunge la Kenya
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bunge la Kenya ni bunge lenye vyumba viwili[1] ambavyo ni:
- Seneti (chumba cha juu)
- Bunge la Taifa (chumba cha chini)
Kabla ya katiba mpya, bunge lilikuwa la chumba kimoja.
Bunge hili lilianzia muhula wake wa kumi na mbili tarehe 8 Agosti 2017.