Agatha mfiadini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Agatha (jina hilo la Kigiriki lina maana ya "Mwema") alikuwa bikira wa Catania, Sicilia, leo nchini Italia (230 - 251) aliyefia dini ya Ukristo, akitunza hivyo safi mwili wake na imani yake sawia kumshuhudia ujanani Kristo kuwa Bwana katika dhuluma ya kaisari Decius.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, hasa tarehe 5 Februari ambayo ndiyo sikukuu yake[1].