Bea Arthur
Muigizaji wa Marekani, mwimbaji na mchekeshaji (1922-2009) / From Wikipedia, the free encyclopedia
Beatrice Arthur (jina la kuzaliwa Bernice Frankel; Mei 13, 1922 – Aprili 25, 2009) alikuwa mwigizaji, mchekeshaji, mwimbaji, na mwanaharakati wa Marekani.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amekufa ...
Bea Arthur | |
---|---|
Arthur kama Maude Findlay mnamo 1973 | |
Amezaliwa | Mei 13, 1922 |
Amekufa | Aprili 25, 2009 |
Kazi yake | mwigizaji, mchekeshaji, mwimbaji, na mwanaharakati |
Funga
Arthur alianza taaluma yake jukwaani mwaka 1947. Alishinda tuzo mbalimbali kama vile mnamo mwaka 1966 alishinda tuzo ya Tony Award for Best Featured Actress in a Musical baada ya kucheza Vera Charles katika muziki wa Mame. Aliendelea kucheza Maude Findlay kwenye sitcom ya All in the Family na kuonekana 1971-1972.[1]