FiakriFrom Wikipedia, the free encyclopedia Fiakri (Ireland, 600 hivi – Saint-Fiacre, Seine-et-Marne, Ufaransa, 18 Agosti 670) alikuwa mmonaki padri maarufu nchini Ireland aliyehamia Ufaransa mwaka 628 aishi kama mkaapweke[1]. Mt. Fiakri katika dirisha la kioo cha rangi la kanisa Notre-Dame, Bar-le-Duc, Ufaransa, karne ya 19. Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 30 Agosti[2].
Fiakri (Ireland, 600 hivi – Saint-Fiacre, Seine-et-Marne, Ufaransa, 18 Agosti 670) alikuwa mmonaki padri maarufu nchini Ireland aliyehamia Ufaransa mwaka 628 aishi kama mkaapweke[1]. Mt. Fiakri katika dirisha la kioo cha rangi la kanisa Notre-Dame, Bar-le-Duc, Ufaransa, karne ya 19. Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 30 Agosti[2].