Carrie Underwood
Carrie Marie Underwood (alizaliwa 10 Machi 1983) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
Carrie Marie Underwood (alizaliwa 10 Machi 1983)[1] ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Marekani.
Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...
Carrie Underwood | |
---|---|
Carrie Underwood, mnamo 2019 | |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Carrie Marie Underwood |
Amezaliwa | 10 Machi 1983 (1983-03-10) (umri 41) |
Kazi yake | Mwimbaji, mwanamuziki |
Ala | Sauti |
Miaka ya kazi | 2005-hadi leo |
Studio | Capitol Records Nashville |
Tovuti | carrieunderwoodofficial.com |
Funga
Alipata umaarufu baada ya kushinda msimu wa nne wa American Idol mnamo mwaka 2005. Wimbo wa kwanza wa Underwood, unaojulikana kama "Inside Your Heaven", uliofanya kuwa msanii wa kipekee kuibuka katika nafasi ya kwanza kwenye chati ya Billboard Hot 100 na ndiye msanii pekee wa nchini humo katika miaka ya 2000 kuwa na wimbo nambari moja kwenye Hot 100. Albamu yake ya kwanza, iliyoitwa Some Hearts mnamo 2005.